JamiiBalaa la nzige huko KenyaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii07.01.20207 Januari 2020Kwa kipindi cha wiki moja wakaazi wa majimbo ya Marsabit, Wajir na Mandera kaskazini mashariki ya Kenya wamekuwa wakishinda mashambani mchana kutwa kuwafukuza nzige wa jangwani ambao wamevamia mashamba yao. Si janga dogo! Tizama video hii. #Kurunzihttps://p.dw.com/p/3VqsnMatangazo