Wajane na watoto yatima nchini Somalia wazumbua njia ya kujipatia riziki ya kila siku katika bahari ya Hindi kusini mwa mji wa Mogadishu.Katika fukwe ya bahari hiyo wengi huingia asubuhi na kuondoka jioni wakihangaika kuchimba chokaa ya mawe katika bahari hiyo.Tazama vidio ya DW iliyochukuliwa na Sadab Kaaya.