1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Baadhi ya wamasai Tanzania waandamana kupinga kuondoshwa eneo la hifadhi

13 Aprili 2022

Baadhi ya wakaazi wa Ngorongoro wanaopinga kuhama eneo hilo baada ya tangazo la serikali wameapa kusalia kwenye ardhi hiyo wanayoitaja kuwa ni ya mababu.

https://p.dw.com/p/49u3p