Chama cha Kihafidhina chake Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson kilipata ushindi mkubwa katika uchaguzi uliofanyika hivi majuzi, ni kipi kinachofuata sasa baada ya uchaguzi huo? Sikiliza makala haya ya Mwangaza wa Ulaya yaliyoandaliwa na Iddi Ssessanga kupata kufahamu mengi zaidi.