Waziri wa Afya wa Ujerumani asema hali ya maambukizi ya virusi vya corona imezidi kuwa mbaya zaidi nchini humo.//
Mamia ya Walibya waandamana kupinga Halifa Haftar na mwanaye Gaddafi kutaka kuwania urais nchini humo.//
Iran yatoa wito wa kuondolewa siasa katika Shirika la Umoja wa Mataifa la Kudhibiti matumizi ya Nyuklia.