Ripoti ya Umoja wa Mataifa yazituhumu Israel na muungano wa majeshi unaoongozwa na Saudi Arabia nchini Yemen kusababisha vifo vya watoto 729 mwaka uliopita.// Zaidi ya watu 400,000 wameyakimbia makaazi yao katika miezi mitatu iliyopita nchini Syria kufuatia mashambulizi.//Na washirika wa Uingereza katika Umoja wa Ulaya wamuonya waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson kuhusu Brexit