VIDOKEZO: Marekani yawapa mafunzo wanajeshi wa Ukraine kule Bavaria Ujerumani.//
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Bearbock apendekeza kubuniwa mahakama maalum kushughulikia mzozo wa Ukraine. //
Shirika la UNESCO lasema mauaji ya waandishi habari yaliongezeka 2022.