Nchi zenye nguvu duniani zakutana leo kujadili mkataba wa nyuklia wa Iran.// Mashua iliyowabeba wahanga 1,200 wa mashambulizi Msumbiji yawasili Pemba salama.// Nchi za Umoja wa Ulaya zavutana kuhusu namna ya kugawana dozi milioni 10 za chanjo ya Pfizer.