1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Amilcar Cabral

1 Machi 2018

Akiibuka toka kundi la wapigania uhuru wa Afrika, Amilcar Cabral ameiongoza Guinee Bissau na Cape Verde kuelekea uhuru kutoka watawala wa kikoloni wa Ureno. Lakini aliuliwa kabla ya kulifikia lengo lake.

https://p.dw.com/p/2tVVS