You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
29.11.2024 Matangazo ya Mchana
Netanyahu: IDF itafanya vita vikubwa kama Hezbollah itakiuka makubaliano+++Chama tawala Tanzania chashinda kwa kishindo serikali za mitaa+++Zaidi ya watu 100 bado wanatafutwa katika maporomoko ya udongo Uganda+++Chad yasitisha mkataba wa ulinzi na Ufaransa
29.11.2024 Matangazo ya Asubuhi
Waziri wa uchumi na maendeleo wa Ujerumani Svenja Schulze, asema dunia inahitaji kuitilia maanani hali ya kuvunja moyo inayoendelea nchini Sudan.//Uchafuzi wa hewa utokanao na mioto ya nyika unahusishwa na vifo vya zaidi ya watu milioni 1.5 kwa mwaka kote ulimwenguni//Chanjo mpya za mpox kwa watoto Kongo zashikwa na tatizo la zamani.
28.11.2024 Matangazo ya Jioni
Miili 14 imepatikana baada ya kutokea maporomoko ya ardhi katika kijiji cha Musugu, mashariki mwa Uganda// Matokeo ya awali ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana nchini Tanzania, yameanza kutangazwa huku wapinzani wakijipatia ushindi katika baadhi ya maeneo-
28.11.2024 Matangazo ya Mchana
Takribani watu 30 wanahofiwa kufariki baada ya kutokea maporomoko ya ardhi katika kijiji kimoja mashariki mwa Uganda// Matokeo ya awali ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 nchini Tanzania, yanaonesha kwamba Chama cha mapinduzi CCM kimeshinda kwa kishindo katika maeneo yote ya nchi, licha ya kuwepo kwa malalamiko ya wizi wa kura na udanganyifu.
28.11.2024 Matangazo ya Asubuhi
Makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na wanamgambo wa Hezbollah nchini Lebanon ambayo yalianza kutekelezwa jana Jumatano, yanaweza kuvimaliza vita vilivyodumu zaidi ya mwaka mmoja// Umoja wa Ulaya unataka kuteuwa mjumbe maalum kama sehemu ya mchakato wa kutathmini sera yake kuelekea Syria.
Taarifa ya Habari za Asubuhi 28.11.2024
27.11.2024 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Watanzania washiriki uchaguzi wa serikali za mitaa/ Makamishna wapya wa Halmashauri kuu ya Ulaya waidhinishwa
27.11.2024 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Tanzania yapiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa/ Namibia yapiga kura huku chama tawala kikikabiliwa na kinyang'anyiro kikali
27.11.2024 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: umuiya ya kujihami ya NATO na Ukraine zimefanya mkutano wa dharura baada ya Urusi hivi karibuni kuishambulia Ukraine kwa kutumia kombora la kuvuka mabara/ Tanzania inaanda uchaguzi wa serikali za mitaa
Jumuiya ya NATO yaihakikishia Ukraine msaada
Nchi za magharibi zimejibu kwa kujiamini Jumanne vitisho vya mashambulizi ya makombora na matumizi ya silaha za nyuklia.
27.11.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Jumuiya ya kujihami NATO yasisitiza kuendelea kuisaidia Ukraine. Nchi za G7 zamuunga mkono kiongozi wa upinzani wa Venezuela. Na Serikali ya Somalia yakataa matokeo ya uchaguzi wa eneo la kusini la Jubaland
Serikali ya Somalia yakataa matokeo ya uchaguzi wa Jubaland
Somalia ilitumai kuainisha uchaguzi wa Jubaland na mipango ya kuanzisha chaguzi za nchi nzima mwaka ujao.
Bolsonaro alishiriki njama ya mapinduzi dhidi ya Lula
Ripoti imewekwa hadharani na jaji wa mahakama ya juu kabisa anayesimamia kesi hiyo, Alexandre de Moraes.
Mtu mmoja auwawa kwenye maandamano Bangladesh
Das anakabiliwa na mashitaka ya uchochezi yaliyowasilishwa mwezi Oktoba baada ya kuongoza mkutano Chittagong.
Watu 5 wafariki katika ajali ya ndege Costa Rica
Wahanga wote walikuwa raia wa Costa Rica wa umri kati ya miaka 27 na 64.
Vikosi vya Pakistan vyawasaka wafuasi wa Imran Khan
Kwa kiwango kikubwa maandamano yalikuwa yametawanywa mjini Islamabad
Nchi za G7 zamuunga mkono kiongozi wa upinzani wa Venezuela
Venezuela imekataa tangazo la nchi za G7 kuhusu mchakato wake wa uchaguzi
26.11.2024 Matangazo ya Jioni
Ndege za kivita za Israel leo Jumanne zimeyashambulia majengo kadhaa katika viunga vya mji mkuu wa Lebanon, Beirut na katika mji wa kusini mwa nchi hiyo.
26.11.2024 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Israel na Lebanon zakubali masharti ya kusitisha vita/ Mgawanyiko mkubwa wajitokeza, mkutano wa kudhibiti plastiki
26.11.2024 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mawaziri wa ulinzi wa baadhi ya mataifa ya Ulaya wameanza mkutano wao wa siku mbili mjini Berlin/ Rais wa Kenya William Ruto kuanzisha kampeni ya shilingi milioni 100 dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia na mauaji ya wanawake nchini Kenya
Nchi za NATO kuimarisha utengenezaji silaha Ukraine
Mawaziri wa ulinzi wa baadhi ya mataifa ya Ulaya wameanza mkutano wao wa siku mbili mjini Berlin ambako wanajadili hatua
Mji wa Kiev washambuliwa kwa droni
Mashambulizi hayo pia yaliwajeruhi watu wanane katika mji wa bandari wa Odessa kusini mwa Ukraine.
Merkel asema hana majuto kuhusu utawala wake
Merkel amekosolewa kwa kushindwa kuwazuia wakimbizi katika mpaka wa Austria na kuchochea kuimarika kwa chama ha AfD.
Congo na Rwanda zapiga hatua katika mchakato wa amani
Mapema Agosti Angola iliongoza upatanisho ulioimarisha hali katika uwanja wa vita mashariki mwa Congo.
Wakimbizi wa ndani waongezeka mara tatu Afrika
Uhamisho wa watu kutokana na majanga, hususan mafuriko, pia unaongezeka barani Afrika.
26.11.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Nchi wanachama wa jumuiya ya kujihami ya NATO wapania kuimarisha utengenezaji silaha nchini Ukraine. Kansela wa zamani wa Ujerumani Angela Merkel asema hana majuto kuhusu utawala wake na machafuko yanayoshuhudiwa sasa katika kitabu chake kipya - Freedom. Na Angola yasema Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda zapiga hatua katika mchakato wa amani.
IOM: Zaidi ya watu 40,000 wakimbia machafuko Port-au-Prince
Muungano wa "Viv Ansanm" uliundwa Februari ili kumpindua waziri mkuu wa wakati huo Ariel Henry aliyejiuzulu Aprili.
Uchunguzi wa ajali ya ndege ya DHL waanza
Sehemu nyingi za ndege zilitapakaa baada ya kuanguka.
Korea Kusini yafanya mkutano kutafuta mkataba wa plastiki
Mkutano utajadili mambo mengi zaidi mbali na kuandaa mkataba wa kimatiafa
Mawaziri wa G7 wakutana kujadili mzozo wa Gaza na Ukraine
Wanadiplomasia wa ngazi za juu wa kundi la G7, wanakutana nje kidogo ya mji mkuu wa Italia, Roma.
25.11.2024 Matangazo ya Jioni
Ukraine imeishambulia miundo mbinu ya nishati ya Urusi katika mkoa wa Kaluga ulioko karibu na mji mkuu Moscow//Wanadiplomasia wa ngazi za juu wa nchi za kidemokrasia zilizoendelea kiviwanda wanakutana nje kidogo ya mji mkuu wa Italia, Roma, kujadili mizozo inayoitikisa dunia// Dunia leo imefungua pazia la maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia.
Wachimba migodi haramu 14 wakamatwa Afrika Kusini
Polisi nchini Afrika Kusini wamesema wachimba migodi haramu 14 waliovamia migodi wamekamatwa.
25.11.2024 Matangazo ya Mchana
Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa hali ya hewa wa COP29 nchini Azerbaijan umemalizika// Mapambano kwenye uwanja wa vita nchini Ukraine yanaendelea// Mashambulizi ya roketi yaliyofanywa na wanamgambo wa kundi la Hezbollah yamesababisha uharibifu wa makaazi ya watu katika eneo la Nahariya karibu na Tel Aviv.
25.11.2024 Matangazo ya Asubuhi
Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Mbiu ya Mnyonge, Makala yetu Leo, Mtu na Mazingira, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa. Sikiliza ya Dunia Yetu Leo Asubuhi kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.
Mapigano kusitishwa Pakistan baada ya watu 82 kuuliwa
Jamii za Wasunni na Washia zimekuwa zikipigana kwa miongo kadhaa.
Watoto wanaosajiliwa na magenge ya silaha waongezeka Haiti
Watoto wamenasa katika mzunguko wa kusajiliwa kwenye magenge yaliyojihami na silaha yanayowasababisha masaibu.
Mgombea wa upinzani Yamandu Orsi ashinda urais Uruguay
Orsi, gavana wa zamani wa Canelones mwenye umri wa miaka a 57 amesema ataepuka kuongeza kodi.
Somalia yasema watu 24 wafa baada ya boti mbili kupinduka
Balozi wa Somalia nchini Morocco atafuatilia ripoti ya vijana wa kisomali waliokwama katika pwani ya Morocco.
Wahouthi waisaidia Urusi kuwapeleka Wayemen kupigana Ukraine
Usajili nchini Yemen unaratibiwa na kampuni iliyoasisiwa na mwanasiasa wa Houthi
Shambulizi la droni la Ukraine lazua moto Kaluga, Urusi
Mabaki ya droni yalianguka katika kiwanja cha kampuni ya viwanda na kuanzisha moto
24.11.2024 Matangazo ya Jioni
#Umoja wa Ulaya wahimiza usitishaji mara moja wa vita vya Israel na Hezbollah. # Iran kufanya mazungumzo ya Nyuklia na mataifa matatu ya Ulaya mjini Geneva. #Na Pakistan yasitisha huduma za simu na intaneti kabla ya maandamano ya wafuasi wa upinzani
24.11.2024 Matangazo ya Mchana
Greenpeace yachukizwa na makubaliano ya COP29//Watu 82 wauawa katika siku tatu za ghasia za kidini Pakistan//Kiongozi wa Baraza la Wakimbizi la Norway aonya Ulaya kuhusu kuipuuza Sudan//Ukraine na Urusi zazima mashambulizi kadhaa ya droni kutoka kila uapnde//Maporomoko ya ardhi yawaua watu tisa Kivu ya Kusini//Raia wa Romania wapiga kura katika uchaguzi wa rais wenye ushindani mkubwa.
Matangazo ya Jioni. 23.11.2024
Mataifa tajiri yakubali kuchangia nusura ya mazingira hadi kwa kiwango cha dola bilioni 300. Erdogan apongeza ujasiri wa ICC kwa kutoa hati ya kuwezesha kukamatwa kwa viongozi wa Israel. Katibu mkuu wa NATO Rutte afanya mazungumzo na Donald Trump huko Florida, Marekani.
Matangazo ya Machana. 23.11.2024
Rais wa Ukraine Volodymir Zelensky amshutumu Putin kwa uhalifu mpya wa kivita. Mashambulizi ya makombora ya Israel yasababisha kifo cha mkurugenzi wa hospital pamoja na watu wengine kadhaa nchini Lebanon. Mazungumzo ya mabadiliko ya tabia nchi ya Baku yameingia katika muda wa nyongeza.
23.11.2024 Taarifa ya Habari Asubuhi
Rais Putin wa Urusi aapa kufanya majaribio zaidi ya kombora jipya lililorushwa Ukraine // Rasimu mpya kuhusu ufadhili wa tabianchi yazusha mgawanyiko katika mkutano wa kimataifa wa mazingira // Na kiongozi wa upinzani Msumbiji Mondlane aweka masharti ya mazungumzo ya baada ya uchaguzi
23.11.2024 Matangazo ya Asubuhi
Karibu katika matangazo yetu usikilize uchambuzi wa ripoti mbalimbali za mambo yanayoendelea duniani pamoja na makala murwa kabisa.
Matangazo ya Jioni 22.11.2024
Hospitali za Gaza hatarini kusitisha huduma zake ndani ya saa 48+++ Urusi yasema shambulio lake dhidi ya Ukraine ni ujumbe kwa mataifa ya Magharibi+++Kundi la Afrika kwenye mkutano wa COP29 lasema pendekezo la dola bilioni 250 halikubaliki.
22.11.2024 Matangazo Ya Mchana
Jeshi la Israel lasema limewauwa wapiganaji watano wa kundi la Hamas kaskazini mwa Gaza+++ Korea Kusini yasema Urusi iliipa makombora Korea Kaskazini ili wanajeshi wake waisaidie katika vita dhidi ya Ukraine+++-Bodi ya IAEA yailaani Iran kwa kushindwa kuipa ushirikiano
22.11.2024 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa tuliyokuandalia katika matangazo haya ni pamoja na vita vya Urusi nchini Ukraine ambavyo vinachukua mkondo tofauti // mkutano wa kimataifa wa mazingira wa COP29 kufikia tamati nchini Azerbaijan
22.11.2024 Taarifa ya Habari Asubuhi
Viongozi wa dunia watofautiana kuhusu waranti wa ICC wa kukamatwa Netanyahu //Kansela wa Ujerumani Scholz kuteuliwa na chama kugombea kwa muhula wa pili //Na Jenerali wa kijeshi ateuliwa kuchukua nafasi ya waziri mkuu wa kiraia aliyefutwa kazi nchini Mali
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 130
Ukurasa unaofuatia