1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

App ya kugundua dawa bandia Nigeria

18 Septemba 2018

Wasichana watano wa shule ya sekondari nchini Nigeria wamefanikiwa kutengeneza programu ya simu ya mkononi ama App ya kutambua dawa bandia, tatizo ambalo ni sugu nchini humo. Inafanyaje kazi, sikiliza makala haya ya Sema Uvume.

https://p.dw.com/p/356AM