1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ankara. Kuanzisha mashambulizi na wakurdi.

17 Julai 2006
https://p.dw.com/p/CG6j

Serikali ya Uturuki imesema kuwa inafikiria kuendeleza mapambano na wapiganaji wa Kikurdi baada ya wanajeshi saba wa Kituruki, mlinzi mmoja wa kijiji na afisa wa polisi mmoja kuuliwa na wapiganaji wa kuvizia.

Chama cha wafanyakazi cha kikurdi kinataka kuendelezwa kwa wakurdi huko kusini mashariki mwa nchi hiyo.

Ankara imesema mashambulizi ya hivi karibuni yaliyoanza tangu siku ya Alkhamis yaliyopelekea kuuwawa kwa watu 14, yametoka kwa majirani zao kaskazini mwa Iraq.