SiasaAngola yawafukuza wahamiaji wa DRCTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaJacob Safari23.10.201823 Oktoba 2018Wahamiaji kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo waliokuwa wamehamia nchini Angola kwa muda, wamekuwa wkaifukuzwa na serikali ya nchi hiyo inayosema kwamba wahamiaji hao wanazimaliza raslimali za nchi hiyo na kuleta janga nchini humo.https://p.dw.com/p/373LtMatangazo