Wananchi wa Angola leo wanalichagua bunge katika uchaguzi mkuu utakaowapatia rais mpya. Rais Donald Trump wa Marekani avishutumu vyombo vya habari kwa upotoshaji. Serikali ya Tanzania yatangaza kuyasajili upya magazeti yote. Papo kwa Papo 23.08.2017.