1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Ugaidi

AMISOM yajiandaa kuondoka Somalia

9 Mei 2018

Wakati vikosi vya ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM vikitekeleza kwa hatua azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuvita viondoke nchini humo ifikapo 2021, makanda wa vikosi wameonya kuwa hatua hiyo haipaswi kufanywa kwa pupa. Sadabu Kaaya aliambatana na ujumbe huo kujionea namna wanavyotekeleza azimio la Umoja wa Mataifa na hii hapa ndiyo ripoti yake.

https://p.dw.com/p/2xSyZ