1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Historia

Amina: Malkia shujaa wa Zazzau

Yusra Buwayhid
5 Februari 2020

Katika wakati ambapo kila kitu kikiendeshwa na wanaume , Amina malkia wa Zazzau aliibuka. Shujaa wa kijeshi kutoka kabila la Hausa. Aliongoza jeshi kubwa, lilonyakuwa maeneo mengi na kuweza kuupanua ufalme wake.

https://p.dw.com/p/3XIg6