You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Allied Democratic Forces
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Wakimbizi wa Sudan wakumbuka vita kupitia sanaa
Wasanii wa Sudan ambao walikimbilia Uganda kutokana na vita vinyoendelea nchini mwao, wamefanya maonyesho ya Sanaa kukumbuka mwaka mmoja tangu kuzuka kwa vita hivyo. Miongoni mwa kazi zilizoonyeshwa ni picha zinazoelezea matukio ya vita. Lubega Emmanuel alihudhuria maonyesho hayo na kututumia video hii. #kurunzi
Waasi wauwa 15 mashariki mwa Kongo
Kundi moja la wapiganaji nchini Kongo limeua takribani watu 15 katika vijiji kadhaa kaskazini mashariki.
Karibu raia 15 wauawa Beni, DRC
Beni na maeneo mengine ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yanakabiliwa na mashambulizi ya waasi na kusababisha vifo.
ADF yashukiwa kuwaua watu 10 mashariki mwa Kongo
Washambuliaji wanaoshukiwa kuwa waasi wa ADF wamewaua watu wasiopungua 10 karibu mji wa Beni nchini Kongo.
Mwanamitindo wa Uganda anayetamba TikTok
Angella Summer Namubiru ni mwanamitindo kutoka Uganda, anaishi maisha ya kijijini na kujizolea umaarufu TikTok. Amekabiliwa na ubaguzi kutokana na rangi nyeusi ya Ngozi yake. Lakini sasa ameamua kutumia mitandao kuelemisha umma. #vijanamubashara
Waasi wa M23 wajiimarisha Mashariki mwa Kongo
Hadi sasa hofu imeongezeka katika mjini Sake ambamo makundi ya vijana wazalendo wamekuwa wakilengwa kwa makombora na M23
Wafanyabiashara wagoma Kampala
Mji mkuu wa Uganda Kampala umetikiswa na mgomo wa wafanyabiashara. Mgomo huo umetatiza shughuli za kawaida katika mji hu
Wahouthi walenga meli za Magharibi katika bahari ya Shamu
Msemaji wa wahouthi asema operesheni hiyo ilichukua saa 72 bila kutoa maelezo zaidi juu yake.
Daktari mstaafu wa Ujerumani anayesaidia wakimbizi Uganda
Hospitali ya Panyadoli nchini Uganda ambayo inawahudumia mamia ya wakimbizi inakabiliwa na uhaba wa vifaa vya matibabu lakini juhudi za wahisani akiwemo Daktari mstaafu kutoka Ujerumani, zinaonekana kuleta matumaini ingawa bado idadi ya wakimbizi inaongezeka kila kukicha. Tizama vidio nzima.
Paul Kagame: Shujaa au Dikteta?
Kagame humwagiwa sifa kama mwokozi aliyemaliza mauaji ya kimbari lakini wengine wanamchukulia kama kiongozi katili.
Mahakama Uganda yapigilia msumari sheria inayopinga LGBTQ
Kulingana na mahakama hiyo, sheria hiyo dhidi ya mashoga inalinda utamaduni na hadhi ya watu wa taifa la Uganda.
Mahakama Uganda yasimama na sheria ya kupinga ushoga
Sheria hiyo ilipitishwa Mei mwaka jana na kusababisha ghadhabu miongoni mwa jamii ya wapenzi wa jinsia moja.
03.04.2024 : Matangazo ya asubuhi
Sikiliza matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili
DRC:Wanajeshi hatarini kuhukumiwa kifo kwa tuhuma za "woga"
Mashirika ya kutetea haki za binadamu pamoja na Kanisa Katoliki yameitaka serikali kuachana kabisa na adhabu ya kifo.
UN: Hali ya usalama mashariki mwa Kongo yazidi kuzorota
Kongo imekuwa ikiilaumu Rwanda kwa kusaidia makundi ya waasi yanayosababisha machafuko mashariki mwa taifa hilo.
UN: Hali ya usalama yaendelea kuzorota mashariki mwa DRC
Marekani imewatolea wito viongozi wa Rwanda na Kongo kuchukua hatua za kuendeleza mchakato wa amani.
Mzozo wa Mashariki mwa Kongo wazidi kuleta wasiwasi
Msaada wa kibinadamu haufiki kwa watu wenye mahitaji na juhudi za kufikisha msaada wa kibinadamu zimekwama.
Takriban raia 11 wameuawa mashariki mwa DR Congo
Idadi ya waliouawa katika mji wa Sayo bado inaweza kuongezeka
Watu 11 wauawa katika mashambulizi mawili ya waasi Beni
Hayo ni kwa mujibu wa maafisa wa eneo hilo waliosema mashambulizi hayo yalifanywa na kundi la waasi wa ADF.
Houthi waishambulia meli ya China kwenye Bahari ya Shamu
Wanamgambo hao wameapa kushambulia meli zinazopita kwenye Bahari ya Shamu na zenye mahusiano na Israel.
Marekani na Uingereza yashambulia mji wa bandari wa Hodeidah
Ndege za Marekani na Uingereza zimefanya mashambulizi kwenye mji wa bandari wa Hodeidah katika bahari ya Sham.
Rais Museveni amteua mtoto wake kuwa kamanda mkuu wa jeshi
Muhoozi Kainerugaba anachukua nafasi ya Jenerali Wilson Mbasu Mbadi ambaye ameteuliwa kuwa waziri wa biashara.
Museveni afanya mabadiliko ya watendaji wa serikali
Taarifa ya jeshi la nchi hiyo imesema kuwa Jenerali Muhoozi Kainerugaba aliteuliwa katika wadhifa huo Alhamis jioni.
Wanaharakati wa mitandao Uganda wasema maisha yako hatarini
Wanaharakati wa mitandao Uganda wasema maisha yako hatarini
Wimbi la joto Afrika Mashariki sasa laikumba Uganda
Uganda imeanza kukumbwa na athari za wimbi la joto ambalo kwa sasa linashuhudiwa katika mataifa kadhaa ya Afrika Mashari
Mapigano makali yazuka upya mashariki mwa Kongo
Umoja wa Mataifa wasema wanajeshi wake wanane walijeruhiwa katika shambulizi la bomu kwenye mji wa Sake, karibu na Goma.
Mashambulio ya Pakistan yaua watu kadhaa Afghanistan
Serikali ya Afghanistan imesema watu wanane nchini humo wameuawa kutokana na mashambulio yaliyofanywa na Pakistan.
Walinda amani wajeruhiwa katika mapigano mashariki mwa DRC
Mapigano mapya yamezuka kati ya vikosi vya serikali na waasi wa M23, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Mapigano mapya yazuka mashariki mwa DRCongo
Msemaji wa jeshi katika jimbo hilo, amevishutumu vikosi vya Rwanda kwa kukilenga kituo cha Umoja wa Mataifa huko Sake
Hamas na Houthi wajadili kutanua makabiliano na Israel
Wahouthi wasema wataendelea na mashambulizi katika bahari ya Sham.
Samia, Museveni na Ruto wakutana kujadili EAC
Majadiliano hayo yanafanyika kuelekea uundwaji wa shirikisho la Jumuiya ya EAC yenye nchi 8 wanachama.
Wahouthi wadai wanakombora lenye kasi ya juu
Madai haya ya Wahouthi yanaongeza hatari inayoweza kutokana na mashambulizi yao ya meli katika Bahari ya Shamu
Hatua za kuimarisha masomo ya Hisabati na Sayansi kwa vitendo Uganda
Mbinu ya kufunza sayansi, teknolojia, uhandisi na hisabati kama somo jumuishi lijulikanalo kwa ufupi kama STEM, imependekezwa hivi karibuni Uganda ili kuwasaidia wanafunzi waweze kukumbatia masomo ya Sayansi.
Waasi wapinga kuwekwa serikali ya mpito nchini Haiti
Rais wa Kenya William Ruto amesema mpango wa kuwapeleka maafisa wake wa polisi nchini Haiti bado upo.
Afrika Mashariki inaweza kuwa na viwango sawa vya kodi?
Bunge la EALA limepitisha muswada wa kusawazisha sheria za kodi na ushuru lakini kuna mashaka ikiwa utaridhiwa.
Mahakama Uganda yakataa rufaa ya usajili wa kundi la LGBTQ
Mahakama ya rufaa ya Uganda ilisema usajili wa kundi la SMUG ni kinyume cha maslahi ya umma na sera ya taifa.
Shirika la MSF laonya kuhusu mgogoro wa kibinadamu Nigeria
Waasi katika eneo hilo huvamia mara kwa mara jamii, vijiji na kufanya utekaji nyara kwa lengo la kulipwa fidia.
Angola yatarajia mkutano wa Rwanda-DR Congo kupunguza uadui
Waziri wa mambo ya nje wa Angola amesema Rais wa Rwanda Paul Kagame amekubali kukutana na rais wa DR Congo Tshisekedi
Marekani na washirika wake zadungua droni 15 za Yemen
Waasi wa Houthi wanasema lengo la mashambulizi ni kuishinikiza Israel kusitisha mashambulizi Gaza.
Somalia yajiunga rasmi na EAC
Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imeikaribisha rasmi Somalia kuwa mwanachama wake mpya.
M23 wadhibiti mji mwingine mashariki mwa Kongo
Duru zinasema kufikia jana, M23 walikuwa wameudhibiti mji wa Kibirizi, kilometa 30 upande wa Kaskazini Mashariki.
Kaiko Njike: Waasi bado wanatatiza raia mashariki ya Kongo
Sudi Mnette anazungumza na Kanali Kaiko Njike, msemaji wa jeshi la Kongo linalopambana na waasi mashariki ya nchi hiyo.
Wahouthi wazilenga meli za Marekani, Washington yajibu
Waasi wa Houthi wa nchini Yemen wamesema wamefanya operesheni ya kijeshi iliyozilenga meli mbili za kivita za Marekani.
M23 yafanya mashambulizi makubwa Mashariki mwa Kongo
Rwanda yaitolea mwito AU kutoidhinisha au kufadhili kikosi cha SADC kinachonuia kukomesha uasi Kongo.
Watu 15 wameuawa baada ya mashambulizi ya M23 nchini Kongo
Watu 15 wameuawa na maelfu wamekimbia mashambulizi ya waasi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Vijana wa Kitanzania wanaopigania ustawi wa miti ya asili
Katika kipindi cha karibuni cha 09.03.2024 utasikia juhudi za asasi isiyo ya kiserikali SAHO inayoudwa a vijana wa Kitanzania yenye shabaha ya kudumisha uhai na uwepo wa miti ya asili katika uso wa dunia kwa kukusaya mbengu na kuotesha katika maeneo mengine ya taifa lao.
Noa Bongo na simulizi za kizazi cha kidijitali
Katika kipindi cha Karibuni cha 02.03.2024 utasikia mchezo mpya wa kuigiza wa DW Kiswahili DW,"Kizazi cha Kidijitali" zaidi Sudi Mnette amezungumza na Grace Kabogo kuhusu mfululizo wa simulizi hizo.
Mashambulizi ya M23 yaua watu 15 mashariki mwa Kongo
Waasi wa M23 iwamefanya mfululizo wa mashambulizi mashariki mwa Kongo na kusababisha vifo vya watu 15.
Waasi wa Yemen waapa kuendelea kuzamisha meli za Uingereza
Wahouthi wa Yemen wanaoungwa mkono na Iran wameapa kuendelea kulenga meli za Uingereza katika Ghuba ya Aden.
ICC yaamuru waathiriwa wa Ongwen walipwe euro milioni 52
Majaji wa ICC wametoa amri kwa waathiriwa wa ukatili wa LRA kulipwa fidia ya dola mil.52.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 5 wa 55
Ukurasa unaofuatia