You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Allied Democratic Forces
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Radio, chombo cha kueneza amani Kongo
Wanahabari wakimbizi nchini Kongo wanatumia radio kama chombo cha kueneza amani mashariki mwa nchi hiyo.
10.06.2024 Matangazo ya Asubuhi
Makala ya Mbiu ya Mnyonge inaangazia jitihada ya kukabiliana na vitendo vya kibaguzi nchini Uganda
Idadi ya vifo yaongezeka hadi 41 kufuatia shambulio Kongo
ADF wenye mafungamano na kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu wanaendesha harakati zao mashariki mwa Kongo.
Zaidi ya raia 50 wauawa na ADF mashariki mwa DRC
Kundi la ADF, asili yake ni waasi wenye itikadi kali za kiislamu kutoka Uganda.
Wafanyakazi wa UN washikiliwa na Waasi wakihouthi Yemen
Takriban wafanyakazi tisa wa mashirika ya UN nchini Yemen washikiliwa na Waasi wakihouthi.
Namna ya kukabiliana na changamoto za hedhi
Unakabiliana na changamoto hedhi, ni zipi na unakabiliano kwa namna ipi? ungana na Thelma Mwadzaya kwa kupata ufumbuzi.
Watu wa nje ya Umoja wa Ulaya kufanya kazi Germany
Sura ya Ujerumani na Sheria mpya ya kuwaruhusu watu kutoka nje ya Umoja wa Ulaya kuja kufanya kazi Ujerumani.
Jeshi la Marekani ladungua droni na makombora ya Wahouthi
Taarifa ya jeshi imesema mabomu hayo yaliangushwa Jumamosi (01.06.2024) katika matukio mawili tofauti.
Jimbo la Kivu Kusini lahitaji dola mil. 56 kujijenga upya
Kiasi hicho kinahitajika ili jimbo hilo listawi baada ya Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa MONUSCO kuondoka.
Jeshi la Kongo latangaza kuzima jaribio la waasi wa M23
Mapigano kati ya jeshi la Kongo na waasi wa M23 yalishika kasi katika baadhi ya vijiji karibu na mji wa Sake.
Wakazi wakimbia, waasi wa M23 wakiusogelea zaidi mji wa Goma
Eneo la mashariki mwa Kongo limekumbwa na mizozo kwa muda sasa na kusababisha wakazi wengi kuyakimbia makazi yao.
Wahouthi kuendelea kuwaunga mkono Wapalestina
Tangu mwezi Novemba, kundi hilo limekuwa likishambulia meli zenye mafungamano na Israel katika Bahari ya Shamu.
Uganda imeanza kutowa chanjo ya homa ya manjano nchi nzima
Kabla ya kampeini hiyo kuanzishwa Waganda walihitajika kupata chanjo hiyo katika hospitali za binafsi.
Uganda yaanza kampeni ya chanjo dhidi ya homa ya manjano
Uganda imeanza tena kampeni ya kutoa chanjo ya homa ya manjano ili kuulinda umma dhidi ya ugonjwa unaosambazwa na mbu.
Marekani kuondoa marufuku ya uuzaji silaha kwa Saudi Arabia
Mara tu baada ya kuingia madarakani, Rais Joe Biden alionekana kuchukua msimamo mkali juu ya kampeni ya Saudi Arabia.
Uganda yawarejesha raia waliodanganywa ajira Thailand
Uganda imewarejesha nyumbani raia wake 23 waliokuwa wamepelekwa Myanmar wakidanganywa kupata kazi nchini Thailand.
Upinzani wakaidi marufuku ya polisi kufanya mikutano Uganda
Upinzani wakaidi marufuku kufanya mikutano ya kisiasa kutoka kwa polisi
Changamoto za mikopo midogomidogo
Mikopo ya haraka, mikopo poa inayotolewa na watu binafsi au taasisi ndogo za kifedha imekuwa tatizo kwa wafanyabiashara.
Uganda yatangaza kumkamata kamanda wa kundi la ADF
Wakati wa operesheni hiyo, watu tisa wakiwemo watoto pia waliokolewa kutoka eneo la jimbo la Ituri mashariki mwa Kongo.
Uganda yatangaza kumkamata kamanda wa kundi la ADF
Jeshi la Uganda limesema limemkamata kamanda wa kundi la waasi la ADF.
Uganda yasema imemkamata kamanda muunda mabomu wa ADF
Jeshi la Uganda limesema limemkamata kamanda wa kundi la waasi wa ADF inayeamini ni mtaalamu wa kuunda mabomu.
Marekani yaonya kuhusu uwezekano wa mashoga kushambuliwa
Hivi karibuni, baadhi ya nchi zimepitisha sheria kali dhidi ya mashoga.
Wasichana wa sasa katika kuzienzi tamaduni zao
Katika safu yetu ya Msichana Jasiri, mjadala unaopewa nafasi unahusu. "Wasichana katika kuzienzi tamaduni zao."
Je, M23 imehusika na shughuli za uchimbaji madini?
Mashirika ya kiraia Kivu Kaskazini yamesema madini ya Coltan yamepanda bei baada ya waasi wa M23 kuuteka mji wa Rubaya.
Kenya na Uganda zaafikiana kuweka kando tofauti zao
Makubaliano haya yanajiri katika ziara rasmi ya Rais Yoweri Museveni nchini Kenya inayodhamiria kuimarisha uhusiano.
Wachambuzi watilia shaka uwezo wa vikosi vya SADC huko Congo
Wachambuzi wanasema kwa sasa ufadhili kutoka Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya unasubiriwa kusaidia vikosi vya SADC.
Marekani yaitaka Iran kutowapa silaha waasi wa Houthi
Robert Wood ameeleza kuwa, Iran haiwezi kuendelea kujificha nyuma ya kivuli cha Wahouthi.
Rwanda yakanusha madai ya Burundi kuwapa silaha waasi
Serikali ya Rwanda imetupilia mbali madai ya Burundi kwamba iliwapa silaha waasi wa Red-Tabara.
Burundi yadai Rwanda inawasaidia waasi
Burundi imekuwa ikiishtumu Rwanda kwa kuwafadhili waasi.
Utakaso wa Waturkana baada ya matatizo kwenye jamii
Katika kila jamii kuna namna ya kufanya tambiko baada ya kutoka kwenye majanga kadhaa, katika jamii ya Waturkana inatumia maji na kinyesi cha mbuzi katika kuwatakasa wale ambao wametoka kwenye matatizo. Hebu tazama video.
Zoezi la sensa Uganda laanza na malalamiko ya wafanyakazi
Baadhi ya maafisa waliopewa vibarua vya kuendesha zoezi hilo nyumba kwa nyumba wamelalamikia ukosefu wa vitendea kazi.
Rais Museveni wa Uganda akutana na wafanyabiashara Kampala
Walichokipata pekee ni kuondolewa faini walizowekewa wale waliokuwa wamefunguliwa mashtaka ya kukataa kulipa kodi.
Makundi haramu yenye silaha Colombia yalijiimarisha 2023
Yaliongeza udhibiti wa maeneo kutokana na biashara haramu ya madawa ya kulevya na uchimbaji haramu wa dhahabu.
Marekani: Rwanda iviadhibu vikosi kwa shambulizi la Goma
Marekani bado inashikilia madai kwamba serikali ya mjini Kigali inaingilia masuala ya ndani ya majirani zake.
Kundi la waasi Colombia latangaza kuanza tena utekaji nyara
Kundi la waasi la nchini Colombia la National Liberation Army (ELN) limetangaza kuanza tena utekaji nyara.
Vikosi vya SADC vyafanya msako dhidi ya M23
Vikosi vya SADC na Majeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo vyafanya msako dhidi ya waasi wa M23 na washirika wao.
Uganda kurejesha nyumbani mabaki ya mashahidi wawili
Uganda kurejesha nyumbani mabaki ya mashahidi 2 walionyongwa zaidi ya karne moja iliyopita kwa kukataa kuukana Ukristo.
Mabaki ya ´mashahidi wa Uganda´ kurejeshwa Septemba
Uganda itapokea mabaki ya watu wawili kati ya makumi ya wale wanaofahamika kama "mashahidi wa Uganda".
Bomu laua watu 12 wakiwemo watoto nchini Kongo
Umoja wa Mataifa na maafisa wa serikali wamesema mabomu kadhaa yaliripuliwa hapo jana kwenye kambi mbili za wakimbizi.
Polisi waliochukua nafasi ya Monusco wakabiliwa na ugumu
Polisi waliochukua nafasi ya Monusco Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakabiliwa na hali ngumu ikiwemo kukosa chakula.
Waasi wa Kihouthi wajizolea umaarufu
Waasi wa Houthi wanatumia mashambulizi ya Bahari Nyekundu ili kuongeza hadhi
Kongo: MONUSCO yasitisha oparesheni zake jimbo la Kivu
MONUSCO imesitisha operesheni zake za kulinda raia katika jimbo la Kivu kusini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Waasi wa M23 wauteka mji wa madini wa Rubaya nchini Kongo
Wapiganaji wa kundi la M23 waliuteka Jumanne (Aprili 30) mji wenye shughuli za uchimbaji madini jimboni Kivu Kaskazini.
Uingereza yawawekea vikwazo wanasiasa wa Uganda
Uganda yasema ufisadi unatumiwa tu kama kisingizio cha vikwazo vya Uingereza dhidi ya maafisa wake.
Museveni amsifia Muhoozi kuwa mwanajeshi shupavu
Sherehe za familia zilifanyika ikulu ya Entebbe lakini ilikuwa fursa kwa Museveni kuwajibu wakosoaji wa Muhoozi.
Tshisekedi asisitiza msimamo wake wa kutozungumza na M23
Rais Tshisekedi amezungumzia juhudi za kurejesha amani mashariki mwa nchi yake na kuwataka wawekezaji kuwekeza Kongo.
Majeshi ya Kongo na Uganda yawauwa wanamgambo watano Beni
Jeshi la Kongo limetangaza kuwa miongoni mwa mateka wa ADF, kuna mbunge mmoja wa zamani ambaye amewekwa kizuizini.
Mahakama Uganda yafuta hukumu ya miaka 20 kwa Wakenya 32
Raia 32 wa Kenya waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 kila mmoja gerezani mwaka jana 2023 waachiwa huru Uganda.
Muungano wa kijeshi wa Marekani wadungua droni za Houthi
Waasi wa Houthi wanaoungwa mkono na Iran wamekuwa wakiendeleza mashambulizi kwenye Bahari ya Shamu.
Mbinu zinazotumiwa kutokomeza Malaria Uganda
Miongoni mwa mbinu zinazotumiwa na Uganda ni mpango wa kunyunyiza viwatilifu vya kuangamiza mbu wanaoeneza Malaria.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 55
Ukurasa unaofuatia