You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Allied Democratic Forces
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Muendesha mashitaka: Washukiwa wa M23 wahukumiwe kifo
Muendesha mashitaka Congo ataka washukiwa wa M23 wahukumiwe kifo
Wanachama wa upinzani FDC Uganda washtakiwa kwa ugaidi
Wafuasi hao 36 wa FDC wakiwemo wanawake watatu wamepelekwa rumande hadi tarehe 13 mwezi Agosti.
Ujerumani yahimiza kufanyika juhudi kuzuia migogoro
Makundi ya Hezbollah na Wahouthi yote wanaungwa mkono na Iran.
Polisi nchini Uganda yawakamata waandamanaji 104
Polisi imesema karibu wote waliokamatwa wameshtakiwa kwa makosa ya kuvuruga utulivu wa umma.
Vikwazo dhidi ya wanaojaribu kuipindua serikali ya DRC
Miongoni mwa waliowekewa vikwazo ni kiongozi wa M23 Bertrand Bisimwa na Charles Sematama, kamanda wa Twirwaneho.
Uganda yawazuilia waandamanaji kadhaa wanaopinga ufisadi
Msemaji wa polisi alisema mamlaka hazitoruhusu maandamano yoyote ambayo yanatishia amani na usalama wa Uganda.
Uganda kuandaa mazungumzo kati ya DRC na makundi ya waasi
Lakini DR Kongo yasema haijatoa ridhaa ya kufanya majadiliano yoyote na makundi iliyoyaita ya kigaidi.
Usalama waimarishwa Kampala kufuatia maandamano ya vijana
Rais Museveni aliunga mkono maandamano hayo dhidi ya ufisadi na kuwataka vijana kufanya maandamano hayo kwa amani
Usalama waimarishwa Kampala kabla ya maandamano yaliyopangwa
Barabara za kuelekea bungeni zimefungwa, kwa sababu za kiusalama
Uganda inaongoza mazungumzo ya amani Kongo
Ujumbe wa ngazi ya juu kutoka serikali ya Kongo na muungano wa waasi unaofahamika kama M23/AFC wanakutana mjini Kampala
Wabunge wa upinzani Uganda wafungwa jela kabla ya maandamano
Rais Yoweri Museveni alionya kuwa Waganda wanaopanga kuandamana mitaani Jumanne wanacheza na moto.
Waandamanaji Uganda wasema wataandamana licha ya zuio
Waandamanaji nchini Uganda wamesema wataendelea na mipango yao ya kufanya mkusanyiko uliopigwa marufuku na serikali.
Waasi wa Houthi waapa kulipiza shambulizi la Israel
Shambulizi la Israel nchini Yemen, lilisababisha moto kwenye tanki za mafuta katika bandari muhimu ya Hodeidah.
Waasi wa Yemen wanasema watu 6 wameuawa
Waasi wa Kihouthi wa Yemen wamesema takriban watu sita wameuwawa katika mashambulizi ya anga ya Israel.
Mtu mmoja auwawa Israel kufuatia shambulizi la droni
Mtu mmoja ameuwawa mjini Tel Aviv, nchini Israel baada ya jengo kushambuliwa na ndege isiyo na rubani.
Shambulio la droni laua mmoja Tel Aviv
Waasi wa Kihuthi wa Yemen wamekiri kuhusika na shambulio la droni mjini Tel Aviv lililomuuwa mtu mmoja
Mapigano yazuka mashariki mwa Kongo kati ya jeshi na M23
Duru zinasema waasi wa M23 walikivamia kijiji cha Nyange na ndipo mapigano yalipozuka na kusambaa vijiji vingine.
Mashirika ya kiutu yadai Wakongo hawajafikiwa na misaada
Marekani ndiyo iliyotangaza usitishwaji wa mapigano kwa muda wa wiki mbili.
11.07.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Kwenye Taarifa ya Habari Asubuhi hii utasikia pamoja na mengine, Washirika wa NATO wakubaliana kuidhibiti Urusi na kuiongezea msaada Ukraine Umoja wa Mataifa wasema wanajeshi kati ya 3,000 na 4,000 wa Rwanda walipelekwa mashariki mwa Kongo na kushirikiana na M23 na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa aviomba vyama kujiunga kuunda serikali thabiti.
UN: Wanajeshi 3,000-4,000 wa Rwanda walipelekwa Kongo
Eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo linakabiliwa na machafuko yanayochewa na mashambulizi ya M23.
Uganda yakanusha madai ya kulisaidia kundi la M23
Uganda yakanusha madai ya kulisaidia kundi la M23
Waasi wa M23 wakanusha kushirikiana na jeshi la Rwanda
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa M23 wameweka chini mtutu wa bunduki ili kupisha misaada ya kiutu kuingia katika maeneo yanayoshuhudia mapigano makali. Hatua hii inafanyika katika wakati ambapo Rwanda inashutumiwa kupeleka vikosi vyake kupigana mashariki mwa Kongo, je Kigali inaunga mkonoM23?. Katika Kinagaubaga sikilize msemaji wa M23
UN yaishtumu Uganda kuwasaidia waasi wa M23
Ripoti ya Umoja wa Mataifa imelilaumu jeshi la Uganda kuwaunga mkono waasi wa M23 Mashariki mwa Kongo, Uganda yakanusha.
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wasitisha kuondoka Kongo
Ujumbe wa UN wa kulinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo utasitisha kwa muda kuondoka nchini humo.
Mjumbe wa UM kwa Kongo atahadharisha kutanuka kwa mzozo
Mjumbe Maalumu wa UN nchini DR Kongo Bintou Keita amesema kuna "kitisho cha dhahiri" cha kusambaa kwa mzozo
10.07.2024: Matangazo ya asubuhi
Sikiliza matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili
Uganda yakanusha shutma za kuiunga mkono M23
Miongoni mwa shutuma kwa Uganda ni kuwaruhusu waasi wa M23 na vikosi vya Rwanda kuitumia ardhi yake kuivamia Kongo
UN yathibitisha kuwa jeshi la Rwanda linashirikiana na M23
Inadaiwa kwamba jeshi la Rwanda "lina udhibiti na hutoa mwelekeo wa operesheni za M23"
Vita kusitishwa kwa muda mashariki mwa Kongo
Ulanguzi wa binadamu unatokana na migogoro na watu kuyakimbia makazi yao katika eneo la mashariki mwa Kongo.
Waasi wa M23 waendelea kukamata miji muhimu ya Kongo
Mzozo unaoendelea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unasababisha maelfu ya watu kukimbia maskani zao.
UN yalaani shambulizi dhidi ya shirika la kiutu Kongo
Shambulizi hilo liliulenga msafara katika mkoa wa Kivu Kaskazini usiku wa Jumapili.
Hofu DRC juu ya M23 kuiteka miji zaidi wilaya ya Lubero
M23 wanajaribu kukiteka kijiji cha Kitsombiro ambacho hakiko mbali sana na mji mdogo wa Lubero.
Mamlaka za afya Uganda zatahadharisha juu ya homa ya nyani
Ugonjwa wa homa ya nyani una madhara makubwa kwa akina mama wajawazito na huenda ukasababisha kuharibika mimba.
Msafara wa misaada ya kibinadamu washambuliwa Butembo
Wafanyakazi wa kibinaadamu wamekuwa wakikabiliwa na kitisho cha kushambuliwa katika maeneo ya mapigano.
Muelekeo mpya wa waasi wa M23 utawafikisha wapi?
Mwishoni mwa wiki, waasi wa M23 walichukua udhibiti wa miji ya Kanyabayonga na Kirumba.
M23 yauteka mji wa Kirumba wenye wakazi 120,000
Kundi la M23, lilichukua udhibiti wa mji wa Kirumba wenye wakazi zaidi ya 120,000.
Waasi wa M23 wauteka mji wa Kanyabayonga
Mji wa Kanyabayonga umekuwa mikononi mwa waasi wa M23 tangu Ijumaa.
Kituo cha elimu ya awali kwa watoto wakimbizi
Jamii za wakimbizi na wenyeji Kaskazini Magharibi mwa Uganda wameanzisha vituo vya kutoa elimu ya awali kwa watoto. Walimu na walezi ni wanajamii ambao wamejitolea kuendesha shughuli hiyo baada ya kupokea mafunzo maalum. Ebu tazama vidio na uwapongeze walimu hawa.
Biashara Uganda zaathirika na maandamano ya Kenya
Athari hii inashuhudiwa hata kwa watu wa kawaida ambao walikuwa na shughuli kati ya nchi hizo mbili na usafiri.
Waasi wa CODECO waua zaidi ya watu 20 nchini Kongo
Zaidi ya raia 20 wameuawa na waasi wa kundi la Codeco kwenye mkoa wa Ituri nchini Kongo.
Umoja wa Falme za Kiarabu kujenga uwanja wa ndege Uganda
Uganda imesaini mkataba na shirika la biashara la Umoja wa Falme za Kiarabu kujenga uwanja mpya wa ndege wa kimataifa.
Baraza la Usalama laonya dhidi ya hali mbaya Kongo
Baraza la Usalama limeonya kuhusu harakati za makundi yenye silaha mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Marekani yaharibu droni nane za waasi wa Houthi nchini Yemen
Wahouthi wamekuwa wakizishambulia meli katika bahari ya Sham na ghuba ya Aden tangu Novemba mwaka 2023.
Jamhuri ya Afrika ya Kati yakumbwa na ongezeko la uasi
Umoja wa Mataifa umetahadharisha juu ya kuongezeka kwa makundi yaliyojihami kwa silaha katika Jamhuri ya Afrika ya Kati
AU walaani mauaji ya watu wengi nchini DR Congo
Umoja wa Afrika walaani mauaji yanayofanywa na waasi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
AU yakosoa mauaji yanayofanywa na ADF Mashariki mwa Kongo
Umoja wa Afrika umekosoa mauaji yanayoendelea Mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.
Uganda yakanusha madai ya kuwaunga mkono waasi wa M23
Jeshi la Uganda limekanusha madai ya kutoa msaada kwa wapiganaji wa M23 ambao wanaendesha harakati zao Kongo.
Watu 42 wauwawa na waasi wa ADF nchini Kongo
Mashambulizi yanayofanywa na ADF yamegharimu maisha ya maelfu ya raia nchini Kongo.
Mataifa manne ya Afrika Mashariki yawasilisha bajeti 2024/25
Mataifa manne ya Afrika Mashariki hapo jana yaliwasilisha bungeni bajeti za mwaka wa fedha unaokuja.
Watu 42 wauawa katika shambulizi la waasi wa ADF Kongo
Maafisa kutoka serikali wamesema shambulio hilo lililotokea jana katika kijiji cha Mayikengo katika wilaya ya Lubero.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 55
Ukurasa unaofuatia