You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Alex Mchomvu
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Alex Mchomvu
Taarifa na Alex Mchomvu
Mbunifu wa teknolojia ya kutengeneza mafuta ya dizeli
Mbunifu wa teknolojia ya kutengeneza mafuta ya dizeli
Hussen Ndekeja ni kijana wa kitanzania mbunifu wa teknolojia ya kutengeneza mafuta ya dizeli kwa kutumia taka za plastiki zinazokusanywa katika mazingira mbalimbali. Kupitia ubunifu huo amepata nafasi ya kuwafundisha vijana wenzake ambao waliibuka washindi katika mashindano ya ubunifu kwa vijana,yalioandaliwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ya Tanzania.
Afya Yako: Uhusiano wa shisha na kifua kikuu
Afya Yako: Uhusiano wa shisha na kifua kikuu
Alex Mchomvu anachunguza uhusiano uliopo baina ya uvutaji wa shisha na kusambaa kwa maradhi ya kifua kikuu.
Tabia nchi na usalama wa chakula Tanzania
Tabia nchi na usalama wa chakula Tanzania
Swala la mabadiliko ya hali ya hewa na upungufu wa chakula si geni kwa bara la Afrika, Takwimu zinaonesha nchi nyingi hasa zilizo kusini mwa jangwa la sahara hukumbwa na ukame au Mvua za juu ya kiwango kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa katika vipindi vya misimu ya kilimo na kupelekea upungufu wa chakula. Sikiliza Mtu na mazingira naye Alex Mchomvu.
Uwindaji haramu wa tembo na faru
Uwindaji haramu wa tembo na faru
Licha ya marufuku ya kimataifa ya biashara haramu ya wanyama pori tembo na faru wanaendelea kuuwawa katika kiwango cha kutisha na kuwa wahanga wa ujangili. Utafiti mpya wa jarida la Nature Human Behaviour,umesema kuna makundi kama matatu makubwa ya uhalifu yamekuwa yakihusika na uhalifu wa wanyama pori nje ya Afrika. Sikiliza Mtu na mazingira na Alex Mchomvu.
Mabadiliko ya tabia nchi na madirisha ya glasi yauwa ndege
Mabadiliko ya tabia nchi na madirisha ya glasi yauwa ndege
Swala la mabadiliko ya hali ya hewa na upungufu wa chakula si geni kwa bara la Afrika, takwimu zinaonesha nchi nyingi hasa zilizo kusini mwa jangwa la sahara hukumbwa na ukame au Mvua za juu ya kiwango kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa katika vipindi vya misimu ya kilimo na kupelekea upungufu wa chakula, Sikiliza makala ya Mtu na Mazingira iliyoandaliwa na Alex Mchomvu.
Gotze: Sifikirii kuhusu nafasi yangu kwenye Kombe la Dunia
Gotze: Sifikirii kuhusu nafasi yangu kwenye Kombe la Dunia
Kwanini hafikirii kuhusu kuisaidia timu yake ya taifa?
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo