Magonjwa yasiyo ya kuambukiza yanaendelea kugharimu idadi kubwa ya maisha ya watu duniani kote, na takribani asilimia 80 ya vifo hivyo hutokea kwenye nchi zinazoendelea. Kuchelewa kugundua ugonjwa, ukosefu wa elimu, lishe duni, miongoni mwa mambo mengine. Makala hii ya Afya Yako inaangazia matumizi sahihi ya tiba ya insulin kwa watu wenye kisukari na changamoto zake. Msikilize Salma Mkalibala.