JamiiAfya Yako: Ghana yaazimia kutokomeza Malaria kupitia chanjo To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiZainab Aziz23.03.202323 Machi 2023Makala ya Afya Yako wiki hii inaangazia juhudi za Ghana katika utoaji wa chanjo ya Malaria ili kuutokomeza ugonjwa huo ambao umekuwa chanzo cha vifo vingi barani Afrika. Mtayarishaji ni Zainab Aziz.https://p.dw.com/p/4P8FCMatangazo