AfyaAfya ya Dr:Sizya kuhusu homoni zinazotatiza usingiziTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoAfya08.06.20208 Juni 2020Usingizi ni muhimu kwa afya ya binadamu. Lakini wakati mwingine mtu huweza kukosa usingizi wa kutosha kutokana na sababu mbalimbali. Je nini husababisha matatizo hayo na ni vipi unaweza kuyakabili? Ungana na Dr. Sadiki Sizya akufahamishe zaidihttps://p.dw.com/p/3dR1WMatangazo