Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan wiki hii amefanya ziara ya siku mbili nchini Rwanda na kusaini makubaliano na mwenyeji wake Paul Kagame katika ushirikiano wa kiuchumi. Pamoja na taarifa nyingine zilizotawala Afrika Wiki Hii karibu kusikiliza makala hii iliyotayarishwa na Sylvia Mwehozi. .