Mkutano wa kilele wa siku tatu kati ya Afrika na Marekani umehitimishwa mjini Washington ambapo pamoja na mambo mengi kumetolewa ahadi kadhaa za kuzisaidia nchi za Afrika. Mjuzi katika siasa za ulimwengu, Profesa David Monda akiwa mjini New York Marekani, anatathmini yaliyojitokeza