Afrika Kusini imepinga vikali hatua ya kamisheni ya Umoja wa Afrika kuipatia Israel hadhi ya kuwa mwangalizi wa umoja huo bila ya kuwashirikisha wanachama. Israel inapewa hadhi hii baada ya mchakato wa kidiplomasia uliodumu kwa takriban miaka 20, baada ya kuondolewa hapo awali kufuatiwa kuvunjwa kwa iliyokuwa umoja wa nchi huru za Afrika. Sikiliza mahojiano na mchambuzi Ahmed Rajab.