Kati ya masuala ya Afrika yaliyozingatiwa na wahariri wa magazeti ya Ujerumani wiki hii ni pamoja na: Mafuriko yasababisha maafa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo++Ziara ya Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz nchini Kenya na linazungumzia juu ya wafanyakazi hewa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo++ Na sakata la wafanyakazi hewa laki moja na nusu Kongo.