JamiiAccra yetuTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiJacob Safari27.02.201827 Februari 2018Tunakwenda mji wa Accra leo, Mji Mkuu wa Ghana. Unaweza kufikiri mji huo wenye joto si mji wa mazoezi au michezo lakini Bernice Asiedu analifanyia kazi suala hilo. Anatumia sehemu zilizotelekezwa katika mji huo kutoa mafunzo ya michezo.https://p.dw.com/p/2tOIyMatangazo