You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Uturuki yawakamata washukiwa 189 wa kundi la kigaidi la IS
Awali, Serikali mjini Ankara ilitangaza kuwa ilizima mipango ya mashambulizi ya kundi hilo
Marekani yashambulia wanamgambo wanaoiunga mkono Iran
Marekani imefanya mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Iraq.
Uturuki yashambulia ngome za Wakurdi nchini Syria na Iraq
Uturuki imetanua kampeni yake ya kijeshi dhidi ya makundi ya Wakurdi huko Syria na Kaskazini mwa Iraq.
Green Zone ya Baghdad yashambuliwa kwa maroketi
Eneo lenye ulinzi mkali maarufu kama Green Zone kwenye mji mkuu wa Iraq, Baghdad, limeshambuliwa kwa roketi kadhaa.
Marekani yalaani shambulio la kigaidi Ufilipino
Washington imesema inafanya mawasiliano ya karibu na mshirika wake Ufilipino.
Watu 11 wauawa katika shambulio la bomu Iraq
Shambulio hilo limefanyika usiku wa kuamkia leo katika eneo la Muqdadiyah, mkoa wa Diyala.
Marekani: Tumeshambuliwa mara 66 na wanamgambo Iraq
Vikosi vya kimataifa vimekuwa vikipambana na kundi linalojiita Dola la Kiislamu, IS lililosalia nchini Iraq.
Irak yalaani mashambulizi ya angani ya Marekani Baghdad
Serikali ya Iraq imelaani mashambulizi ya angani ya usiku kucha yaliyofanywa na Marekani kusini mwa Baghdad.
Ruto asema mivutano ya Magharibi, Urusi inavuruaga mishikamo
Ruto asema mivutano ya Magharibi, Urusi inavuruaga mishikamo
Mahakama ya Kimataifa yaiamuru Syria kusitisha mateso
Uamuzi huo umetolewa baada ya Ufaransa kutoa waranti wa kukamatwa kwa rais wa Syria Bashar AL-assad
Mahakama ya ICJ yaiagiza Syria kukomesha mpango wa mateso
Hii ni kesi ya kwanza ya kimataifa kuhusu vita vya kikatili vya wenyewe kwa wenyewe vilivyoanza mnamo mwaka 2011
Ufaransa yatangaza hati ya kukamatwa kwa Rais wa Syria Assad
Ni waranti wa kwanza wa kimataifa kutolewa dhidi ya mkuu huyo wa nchi wa Syria.
Marekani na Urusi zafanya mashambulizi Syria
Wanamgambo waliolengwa ni wale wanaoungwa mkono na Iran na makundi mengine yenye silaha huko Syria.
Marekani yashambulia maeneo ya Iran nchini Syria
Marekani imesema imejiandaa kikamilifu kuchukua hatua zaidi za kuwalinda watu wake pamoja na kambi zao.
Syria: Watu 21 wauwawa katika shambulizi la kundi la IS
Watu 21 wamekufa Syria baada ya kundi la kigaidi la IS, kuwavamia wapiganaji wanaounga mkono na serikali.
Vipi vita vya Syria vilivyooanishwa na vya Israel na Hamas
Ongezeko la sasa la ghasia nchini Syria linaonekana kuanza tangu Oktoba 5
Watu 17 wauawa Nigeria kufuatia shambulio la kigaidi
Shambulio hilo liliendeshwa na wapiganaji wa kundi la ISWAP lenye mafungamano na kundi la kigaidi linalojiita IS
Israel yazidi kusogea katika maeneo ya Gaza
Katika vidio iliyosambaa mtandaoni kifaru na tingatinga la Israel vimezuia barabara inayounganisha kaskazini na kusini.
Marekani yavishambulia vituo vya silaha Syria
Marekani imevishambulia vituo vya silaha nchini Syria kwa kile kinacholezwa kuwa ni hatua ya kuyajibu mashambulizi.
Marekani yavishambulia vituo vya silaha Syria
Marekani imevishambulia vituo vya silaha nchini Syria kama hatua ya kulipiza mashambulizi dhidi ya askari wa Marekani.
Taarifa ya Habari ya Asubuhi 23.10.2023
Mapambano ya Israel katika Ukanda wa Gaza na katika mpaka na Lebanon yaongezeka. Wanajeshi wawili wa Iraq na wapiganaji wawili wa Peshmerga wauliwa kaskazini mwa Iraq. Na mapigano mapya yazuka mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Wanajeshi 2 wa Iraq na wapiganaji 2 wa Peshmerga wauliuwa
Wanajeshi sita na wapigananji sita wa Pershmerga walijeruhiwa. Wanajeshi wawili wako katika hali mbaya.
Vita vya Israel vyahofiwa kusambaa maeneo mengine
Khofu ya kusambaa kwa vita vya Israel na Wapalestina kote Mashariki ya Kati inaongezeka huku Marekani ikiongeza zana.
Israel yazishambulia Palestina, Syria
Jeshi la Israel limeendeleza mashambulizi yake kwa siku ya 16 mfululizo likidai kulipiza kisasi mashambulizi ya Oktoba 7
Netanyahu: Hamas inatakiwa kuangamizwa kama ISIS
Netanyahu: Hamas wanatakiwa kuchukuliwa hatua sawasawa kama ISIS ilivyochukuliwa.
Uturuki yashambulia miundo mbinu ya nishati Syria
Mashambulizi ya mabomu ya Uturuki yamesababisha uharibifu wa miundombinu ya huduma muhimunchini Syria.
Mahakama ya kimataifa ya haki yasikiliza kesi dhidi ya Syria
Syria inakabiliwa na madai katika mahakama hiyo kwamba inaendeleza mfumo wa mateso ambao umewaua maalfu ya watu.
Mahakama ya ICJ kusikiliza kesi ya mateso inayoikabili Syria
Syria inakabiliwa na madai katika mahakama hiyo kwamba inaendeleza mfumo wa mateso ambao umewaua maalfu ya watu.
Syria yawazika watu waliouawa katika shambulizi
Hadi sasa hakuna kundi lililodai kuhusika na shambulizi hilo linalotajwa kuwa ni la kigaidi.
Taarifa Ya Habari Ya Asubuhi: 06.10.2023
Shambulio la Urusi laua watu 51 Kharkiv. Watu zaidi ya 110 wauawa katika shambulio Syria. Mahakama nchini Burundi yaamuru Waziri Mkuu wa zamani Bunyoni kutoachiwa kwa dhamana.
Watu 112 wauawa katika shambulio nchini Syria
Jeshi la Syria limeahidi kujibu vikali shambulio hilo.
Uturuki yafanya mashambulizi mengine dhidi ya wakurdi Iraq
Uturuki inalichukulia kundi la PKK kuwa kundi la kigaidi na imekuwa ikipambana nalo kwa miaka sasa.
Jeshi la Uturuki limefanya mashambulizi ya anga Iraq
Jeshi la Uturuki limefanya mashambulizi ya anga Iraq,
Meya na maafisa watano wafukuzwa kwa vifo vya watu 107 Iraq.
Meya na maafisa watano wafukuzwa kwa vifo vya watu 107
02.10.2023 Matangazo ya Asubuhi
Mamlaka nchini Iraq imesema meya na mkuu wake wa zimamoto ni miongoni mwa maafisa watano wa taifa hilo waliofutwa kazi kwa kile kilichoelezwa kuwa "uzembe mkubwa" baada ya ajali ya moto ya wiki iliyopita ulioua watu 107 kwenye harusi.
China yaaita Marekani kuwa dola la ulaghai
China yaaita Marekani kuwa dola la ulaghai
Wanajeshi 10 wa Niger wauawa katika shambulio la wanamgambo
Eneo la Kandadji limekuwa kitovu cha oparesheni za waasi katika ukanda wa Sahel katika muda wa miaka michache iliyopita.
Mauti harusini- Iraq yaomboleza vifo vya zaidi ya watu 100
Iraq inaomboleza vifo vya karibu watu 100 waliopoteza maisha kwa mkasa wa moto uliozuka kwenye ukumbi wa harusi kaskazini mwa nchi hiyo usiku wa kuamkia Jumatano. Bwana na bi harusi ni miongoni mwa waliouawa.
Iraq yaomboleza vifo vya mkasa wa moto
Iraq inaomboleza vifo vya karibu watu 100 waliopoteza maisha kwa mkasa wa moto uliozuka kwenye ukumbi wa harusi.
Karibu watu 100 wafariki katika kisa cha moto nchini Iraq
Jumba hilo la dhifa limejengwa kwa vifaa vinavyoshika moto mara moja na kulifanya kuanguka mara baada ya kushika moto.
Raia wa Australia wanaozuiliwa syria wataka warejeshwe kwao
Zaidi ya wanawake 30 raia wa Australia wanaozuiliwa Syria waitaka serikali yao iwarudishe nyumbani
Iran: Wanachama 28 wa kundi la kigaidi la "IS" wakamatwa
Maafisa wawili wa usalama walijeruhiwa wakati wa operesheni hiyo.
China yatangaza 'ushirikiano wa kimkakati' na Syria
Rais Xi Jinping wa China amekutana na Rais Bashar al-Assad wa Syria mashariki mwa mji wa Hangzhou siku ya Ijumaa.
China na Syria zatangaza ushirikiano mpya wa kimkakati.
Mataifa hayo mawili pia yametia saini makubaliano ya ushirikiano
Rais wa Syria Bashar Assad afanya ziara nchini China
Assad anafanya ziara hiyo, kwa mara ya kwanza tangu kufumuka kwa mgogoro nchini mwake mnamo mwaka 2011.
Iraq yalaani mashambulizi ya Uturuki
Ofisi ya Rais wa Iraq imelaani mashambulizi ya mara kwa mara ya Uturuki.
Mjumbe wa UN Syria awasihi wafadhili wasisitishe misaada
Mjumbe Umoja wa Mataifa kwa Syria Geir Pedersen ametoa wito kwa wafadhili wasipunguze misaada
Jeshi limewazuwia wakimbizi 1,200 wa Syria kuingia Lebanon
Jeshi la Lebanon limesema leo kuwa, limefanikiwa kuwazuia raia 1,200 wa Syria kuingia nchini humo wiki hii.
Uingereza kulipiga marufuku kundi la Wagner
Kundi la Wagner limewahi kuendesha shughuli zake nchini Ukraine, Mashariki ya Kati barani Afrika.
Mapigano nchini Syria yasababisha vifo vya watu 23
Mapigano yanajiri baada ya siku kadhaa za mapigano tofauti katika jimbo jirani la Deir Ezzor.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 72
Ukurasa unaofuatia