You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Wapiganaji 9 na kamanda wauwawa kwa mashambulizi Syria
Shirika la kutetea haki za binadamu Syria limesema wapiganaji wapatao 9 wameuawa katika mashambulizi ya angani.
Macron asema IS imehusika katika shambulizi la Moscow
Ikulu ya Kremlin imekataa kutoa tamko kuhusu madai ya kuhusika kwa kundi la IS katika shambulizi la Moscow.
Macron asema kundi la IS lilitekeleza shambulio la Moscow
Magaidi waliwaua watu 137 mjini Moscow katika ukumbi wa matamasha
Urusi yawaomboleza waliokufa kwenye tamasha
Rais Vladimir Putin aapa kuwawajibisha waliohusika na shambulizi hilo la tamashani lililosababisha vifo vingi.
UN inasaka msaada wa dola bilioni 4 kuwasaidia raia wa Syria
Jamii ya kimataifa imetahadharishwa kutochukua hatua kutasababisha mateso zaidi kwa raia wa Syria.
Kwanini wasio Waislamu hufunga mwezi wa Ramadhan?
Sio jambo geni kwa watu ambao si Waislamu katika baadhi ya nchi kujikuta wakifunga wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
IAEA kuisaidia Iraq kuanzisha mradi wa nyuklia wa amani
Shirika la kimataifa la kudhibiti matumizi ya nishati ya nyuklia IAEA, litaisaidia Iraq kuanzisha mpango wa nyuklia.
UN yaitaka Syria kurejea kwenye mazungumzo ya kisiasa
Mjumbe huyo wa Umoja wa Mataifa amesema hali ya kisiasa na kiuchumi ni mbaya mno nchini Syria.
Al-Qaeda nchini Yemen yatangaza kifo cha kiongozi wake
Al-Qaeda nchini Yemen yatangaza kifo cha kiongozi wake
Iraq yawarejesha makwao wakimbizi 625 kutoka kambi ya Syria
Iraq yawarejesha makwao wakimbizi 625 kutoka kambi ya Syria
Polisi nchini Uturuki wawazuia watu 33 wanaofungamana na IS
Uturuki imekumbwa na mashambulizi mengi yanayohusishwa na IS katika kipindi cha miaka 10 na mengine yalisababisha vifo.
Mashambulizi ya Uturuki yauwa wawili kaskazini mwa Iraq
Raia wawili wauwawa Irak katika mashambulizi ya angani ya Uturuki
Mashambulizi ya wapiganaji yawahamisha maelfu Msumbiji
Malefu ya watu wameyahama makaazi yao lakini serikali ya Msumbiji imekataa mpaka sasa kutangaza hali ya hatari.
Maombi zaidi ya milioni 1 ya hifadhi yalirekodiwa Ulaya 2023
Ujerumani ilisalia kuwa nchi inayopendelewa na wengi, ambapo maombi mapya 334,000 ya hifadhi yaliwasilishwa.
Israel yashambulia eneo la makaazi ya watu mjini Damascus
Shirika linalofuatilia hali ya haki za binadamu la Syria limesema hii ni mara ya 13 Israel kushambulia Syria mwaka huu.
UN: Kutoa dola milioni 100 kuzisaidia nchi zenye migogoro.
Mwaka jana mahitaji ya misaada ya kimataifa yalifikia kiwango cha juu cha karibu dola bilioni 57
Umoja wa Mataifa wasema bado IS ni hatari Afrika Magharibi
IS inaendelea kuwa tishio huku kukiwa na ukosefu wa utulivu wa kisiasa Afrika Magharibi na katika eneo la Sahel.
UN: Wasyria wanaorejea nyumbani wanakabiliwa na unyanyasaji
Ripoti mpya iliyochapishwa Jumanne na Umoja wa Mataifa inasema raia wa Syria wanaorejea kwenye taifa hilo lililoharibiwa
Marekani yamuua kamanda wa Kataib Hizbullah
Jeshi la Marekani limesema limemuua kamanda wa kundi la Kataib Hezbollah linaloungwa mkono na Iran nchini Iraq.
Urusi yakemea mashambulizi ya Marekani Iraq na Syria
Marekani imesema ina haki ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya silaha kwa mujibu wa sheria za kimataifa.
Iran yasema haitosita kujibu mashambulio dhidi yake
Marekani imesema itaendelea kuyashambulia makundi yanayoungwa mkono na Iran katika nchi za Iraq na Syria.
Marekani yatishia mashambulizi zaidi Mashariki ya Kati
Marekani yatishia kufanya mashambulizi zaidi dhidi ya wanamgambo Mashariki ya Kati.
Borrell atoa rai kutuliza ghasia Mashariki ya Kati
Borrell atoa rai ktuliza ghasia Mashariki ya Kati
Mashambulizi ya Marekani yawaua watu 34 Iraq na Syria
Taarifa hizo ni kwa mujibu wa vyanzo vya serikali na shirika linalofuatilia vita la haki za binadamu la Syria.
Matangazo ya Mchana 03.02.2024
Muhtasari wa habari: Marekani yafanya mashambulizi ya anga huko Iraq na Syria//Blinken anajindaa kwa ziara ya tano Mashariki ya Kati//Ukraine yadai kuzidungua droni 9 kati ya 14 za Urusi.
Marekani yafanya mashambulizi ya anga huko Iraq na Syria
Mashambulizi hayo ni hatua za ulipaji kisasi wa shambulizi la wiki iliyopita lililowaua wanajeshi watatu wa Marekani.
Marekani yapiga zaidi ya vituo 85 vya wanamgambo Syria, Iraq
Jeshi la Marekani limesema jana kuwa limeshambulia vituo zaidi ya 85 nchini Syria na Iraq, kujibu mauaji ya askari wake.
Kitisho cha ugaidi ni kikubwa Afrika, Afghanistan na Ulaya
Kanda ya Afrika Magharibi na Sahel pia imeshuhudia ongezeko la vurugu na vitisho.
Israeli na Lebanon wanajiandaa kwa vita visivyoepukika?
Israeli na Lebanon wanajiandaa kwa vita ambavyo wengine wanauona kama mzozo usioepukika.
Biden aamua kujibu shambulizi lililotokea Jordan
Ikulu ya White House imeonya kuwa huenda kukawa na hatua kadhaa za kulipiza shambulizi hilo.
Jordan: Wanajeshi watatu wa Marekani wauawa katika shambulio
Maafisa wa Marekani wametathmini kwamba moja ya makundi kadhaa yanayoungwa mkono na Iran ndiyo yaliyoendesha tukio hilo.
Iran yawanyonga watuhumiwa wanne waliohusishwa na Mossad
Watuhumiwa hao walidaiwa kuingia kwa njia zisizo halali katika ardhi ya Iran kutoka jimbo la Kurdistan nchini Iraq.
Iraq na Marekani zaanza mazungumzo ya kuondoa vikosi Iraq
Vikosi vya kigeni nchini Iraq vilikuwa vikisaidia mapambano dhidi ya kundi linalojiita Dola la Kiislamu, IS.
Iraq yalaani mashambulizi ya Marekani
Iraq imeilaumu Marekani kwa kuchangia kuongezeka ghasia katika eneo la Mashariki ya Kati kufuatia mashambulizi yake.
Mwanajeshi wa Iran awauwa wenzake watano kwa risasi
Mwanajeshi huyo aliingia katika hospitali inayohudumia wanajeshi na kuanza kufyatua risasi kiholela.
Iran inaituhumu Israel kwa mauaji ya wanajeshi wake Syria
Israel bado haijatoa tamko lolote juu ya madai hayo.
Shambulio la Israel Damascus lauwa makamanda wa Iran
Redio ya taifa ya Iran imethibitisha vifo vya askari kadhaa wa kikosi cha ulinzi wa mapinduzi, wakiwemo washauri wawili.
Al-Sudani ataka kikosi cha Marekani kiondoke Irak
Mohammed al-Sudani amesema kuondoka kwa kikosi hicho ni muhimu kwa uthabiti wa nchi yake.
Iran yafanya mashambulizi dhidi ya wanamgambo Pakistan
Iran imefanya mashambulizi nchini Pakistan ikizilenga kile imesema kuwa ngome za kundi la wanamgambo wa Jaish al-Adl.
Iraq yamuita balozi wake nyumbani kwa mashauriano
Iran ilirusha makombora na kulenga kile makao makuu ya ujasusi wa Israel karibu na ubalozi mdogo wa Marekani
Iraq yalaani mashambulizi ya Iran
Jeshi la walinzi wa mapinduzi ya Iran limesema lilishambulia "makao makuu ya kijasusi ya Israel" Kurdistan.
Uturuki yashambulia maeneo ya magaidi Iraq na Syria
Mashambulizi hayo yamefanyika baada ya vifo vya wanajeshi tisa wa nchi hiyo waliouwawa Iraq
Kundi la Dola la kiislamu ladai kufanya shambulizi Kabul
Kundi linalojiita Dola la Kiislamu IS limedai kuhusika na mlipuko ulioilenga gari moja mashariki mwa mji wa Kabul.
Milipuko ya mabomu ya kutegwa ardhini yaua watu 10 Nigeria
Milipuko hiyo imeshuhudiwa karibu na mpaka na Cameroon katika eneo lenye harakati za makundi ya kigaidi.
Iraq kuanza kuondoa majeshi ya muungano
Kuna wanajeshi karibu 2,500 nchini Iraq na 900 kutoka Syria wanaosaidia juhudi za kulizuia kundi la IS.
Mamia wajitokeza kuwazika waliouawa kwenye milipuko Iran
Raisi ameapa kuwa nchi hiyo italipiza kisasi kwa mashambulizi hayo mabaya tangu mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 79.
Zaidi ya watu 100 wauwawa katika milipuko Iran
Watu zaidi ya 100 wamuwawa baada ya mabomu mawili ya kuendeshwa kwa rimoti kulipuka mbele ya umati wa watu nchini Iran.
Watuhumiwa wa ugaidi wakamatwa Ujerumani
Mtuhumiwa mmojawapo ni mwenye umri wa miaka 25 kutoka Tajikistan ambaye alikamatwa kabla ya Krismasi.
Zaidi ya watu 4,360 wameuawa nchini Syria mwaka 2024
Watu waliouawa ni raia na wapiganaji wa makundi mbalimbali kuanzia ya ndani hadi ya kigeni.
Uturuki yawakamata washukiwa 189 wa kundi la kigaidi la IS
Awali, Serikali mjini Ankara ilitangaza kuwa ilizima mipango ya mashambulizi ya kundi hilo
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 72
Ukurasa unaofuatia