1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

31.05.2021 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi

31 Mei 2021

Jumuiya ya kiuchumi ya Ecowas imetangaza kusitisha uanachama wa Mali baada ya jeshi kufanya mapinduzi. Washambuliaji wenye silaha wamewateka nyara wanafunzi kadhaa nchini Nigeria. Maandamano makubwa yamefanyika nchini Ethiopia kupinga vikwazo vya Marekani.

https://p.dw.com/p/3uCYP