Polisi nchini Uingereza inachunguza mkasa wa shambulizi la kisu mjini London. Maandamano ya umma yanaendelea nchini Iraq siku moja baada ya waziri mkuu kutangaza kujiuzulu. Askofu wa kanisa katoliki amefikishwa mahakamani nchini India kwa tuhuma za ubakaji.