Hatimaye kansela wa Ujerumani Angela Merkel apata idhini ya kuwarejesha wahamiaji, makubaliano ya usimamishwaji mapigano yakiukwa nchini Sudan Kusini muda mfupi baada ya kuanza kutekelezwa na miji minane ya Syria iliyokuwa ukidhibitiwa na waasi yarejeeshwa kwa serikali .