SiasaKimataifa30.04.2021 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaKimataifaRashid Chilumba30.04.202130 Aprili 2021Palestina imetangaza kuahirisha uchaguzi wa bunge uliopangwa mnamo mwezi Mei. Idadi ya waliokufa kwa Covid-19 nchini Brazil yapindukia watu 400,000. Watu 100 wajeruhiwa kwenye mkanyagano uliotokea kaskazini mwa Israel. https://p.dw.com/p/3slzIMatangazo