Shirika la Fedha Duniani IMF limeidhinisha kitita cha fedha cha dola bilioni 1, kikiwa kama mkopo wa kipindi cha miaka mitatu kwa Uganda kwa lengo la kulisaidia taifa hilo la Afrika Mashariki katika kukabiliana na athari za janga la virusi vya corona