Wanajeshi wa Eritrea wanalaumiwa kwa kuzuia na kupora msaada wa chakula/ UN yamesema kuwa watu milioni 29 wanahitaji msaada wa kibinadamu katika Ukanda wa Sahel/ India na Pakistan zinaweza kununua silaha na kufanya majaribio ya makombora, lakini haziwezi kukabiliana na mzozo wa COVID-19/ Tanzania yakusanya maoni juu ya sheria ya uvunaji viungo vya binadamu