Siasa29.03.2020 - Matangazo ya MchanaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaSK2 / S02S29.03.202029 Machi 2020Idadi ya vifo kutokana na ugonjwa wa Covid-19 yaendelea kuongezeka duniani. Korea Kaskazini imefyetua kombora la masafa marefu katika bahari ya Japan. Mazungumzo ya kuunda serikali ya dharura yamepiga hatua muhimu nchini Israelhttps://p.dw.com/p/3aAnWMatangazo