1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.02.2020 - Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S29 Februari 2020

Korea Kusini yatangaza ongezeko kubwa la maambukizi ya virusi vya Corona. Marekani imeaharisha mkutano wake na mataifa ya kundi la ASEAN uliopangwa mwezi Machi. Uturuki na Urusi zimekubaliana kupunguza mvutano katika vita nchini Syria.

https://p.dw.com/p/3YeSW