Matangazo
Miongoni mwa yaliyomo:
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel asema mazungumzo ya mkataba wa Paris hayakuridhisha
Wakuu wa G-7 wahimizwa kumaliza machafuko ya Libya
Uingereza yapunguza tahadhari ya shambulizi kutoka hali ya "juu zaidi" hadi hali ya "juu"
Misri yaendeleza mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Libya huku kundi la IS likidai ndilo liliwashambulia waumini wa Kikristo