Maelfu ya Wapalestina wamefanya maandamano mengine leo kufuatia kifo cha mkosoaji wa serikali.
Polisi ya Ujerumani imeanzisha uchunguzi kuhusu shambulio la kisu la mjini Wuerzburg.
Mamia kwa maelfu ya watu wanakabiliwa na baa la njaa nchini Ethiopia.