Wajerumani mateka waachiwa Nigeria, Demokrat wamchagua mwenyekiti mpya na Maafisa nchini Marekani wanasema wizara ya ulinzi ya taifa hilo-Pentagon inataka kutanua wigo wake wa kijeshi nchini Somalia kwa lengo la kukabiliana na wanamgambo wa al-Shabaab na mengine ya itikadi kali.