1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.08.2018: Matangazo ya mchana

Isaac Gamba
25 Agosti 2018

Tuliyo nayo ni pamoja na : Papa Francis awasili Ireland kuanza ziara ya siku mbili // UNHCR yautaka Umoja wa Ulaya kuwachukua wahamiaji waliokwama pwani ya Italia// Marekani yasitisha msaada wa dola milioni miambili kwa wapalestina.

https://p.dw.com/p/33kOF