Familia za watu waliokufa katika ziwa Victoria nchini Tanzania kufuatia ajali ya kivuko cha MV Nyerere zinafanya maandalizi ya mazishi.// Rais wa Iran Hassan Rouhani, amesema Marekani inataka kusababisha ukosefu wa usalama katika Jamhuri hiyo ya Kiislamu. // Jeshi la Israel, limewaambia wakaazi wa kijiji cha Ukingo wa Magharibi kuondoka, kabla ya nyumba zao kuanza kubomolewa Oktoba 1.