1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.04.2022 Matangazo ya Jioni

23 Aprili 2022

Kaburi jengine la halaiki limegunduliwa nje ya mji uliozingirwa na wanajeshi wa Urusi wa Mariupol, wakati mamlaka nchini Ukraine zikisema zinajaribu kuwahamisha raia waliokwama kwenye mji huo uliogeuzwa kifusi kwa mashambulizi mfululizo.

https://p.dw.com/p/4AL92