22 Novemba 2016
Matangazo
Rais Mteule wa Marekani Donald Trump aahidi kuiondoa nchi yake katika mkataba wa biashara huru katika ukanda wa Pasifiki, mnamo siku yake ya kwanza ofisini, Tetemeko kubwa laupiga mkoa wa Fukushima nchini Japan, lakini tahadhari ya Tsunami iliyokuwa imetolewa, yaondolewa, Pande hasimu nchini Yemen zalaumiana kuvunja makubaliano ya kusitisha mapigano.