1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.08.2021 - Matangazo ya Asubuhi

21 Agosti 2021

Rais wa Marekani ameahidi kuwaondoa raia wote waliokwama nchini Afghanistan. Mahakama ya Rufaa nchini Kenya imetoa hukumu kupinga mabadiliko ya katiba. Waziri Mkuu wa Haiti aahidi kuitisha uchaguzi "haraka iwezekanavyo".

https://p.dw.com/p/3zIZv