Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni pamoja na Waziri mkuu wa Ufarabnsa Manuel Valls azitaka nchi za Umoja wa Ulaya kulinda mipaka yake, Watu watano wauwawa nchini Israel kutokana na mashambulio ya Wapalestina na Marekani yakaribia kuweza vizuwizi kwa wakimbizi.