Idadi ya watu waliokufa kutokana na mripuko wa bomu la kujitoa muhanga nchini Somalia imepanda na kufikia 16. Warizi Mkuu wa Armenia amewaongoza maelfu ya raia kuwakumbuka wahanga wa Nagorno Karabakh Na Watu 9 wamefariki dunia kwa ajili ya moto kwenye hospitali nchini Uturuki.