Siasa19.08.2018-Matangazo ya mchanaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaIsaac Gamba19.08.201819 Agosti 2018Tuliyo nayo ni pamoja na : Rais Vladimir Putin wa Urusi atoa mwito kwa ulaya kusaidia ujenzi mpya wa Syria// Iran yaitaka ulaya kuyalinda makubaliano ya nyukilia// Zaidi ya mahujaji milioni mbili wahudhuria ibada ya Hijja Saudi Arabia.https://p.dw.com/p/33OBtMatangazo