1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.01.2020: Matangazo ya jioni

19 Januari 2020

Miongoni mwa yaliyomo kwenye matangazo ya jioni ni mazungumzo ya suluhu ya amani nchini Libya yaanza mjini Berlin, miili 11 ya wahanga wa ajali ya ndege ya Ukraine nchini Iran, yarejeshwa nyumbani Ukraine na Iran imesema huenda ikalazimika kuangazia upya ushirikiano baina yake na shirika la kimataifa la nguvu za Atomiki. Utasikia pia makala.

https://p.dw.com/p/3WRL1